Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amen.Mkuu kuna muda mihemko ya kubishana inazidi kipimo hadi ina kuwa kikwazo kwa wengine,tuvumiliane tu.Malumbano ya mzee wa liver na ho chi minh leo na vita ya andjul na Kichwa kichafu jana hayana uhalisia wowote,lengo ni kuupamba uzi wetu kwa nakshi tofauti.Hata carba wala sio mbea kiviiiiileee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Walio sema like zetu ni fake acha tuwa hakikishie kuwa sio fake kwa umoja wetu.Mungu yupo upande wetu.Ahsante mkuu Shimba ya buyenze (shemejiiii)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unanichokoza[emoji23][emoji23][emoji23]mimi sipendi kupitwa na matukio[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tupendane. Tutaniane. Mtu akikwazika anasema. Tunasameheana na kusonga mbele. Uzi hauna miezi hata miwili tayari umegonga 150K. Wale wengine wana miaka karibu miwili bado wanachezea 240K. Mwishoni mwa mwezi huu tu tukiendelea hivi huu utakuwa ndiyo uzi maarufu zaidi hapa. Tayari tunayo rekodi ya likes nyingi zaidi - rekodi ambayo sidhani kama itakaa ivunjwe kwa sababu nayo mwishoni mwa mwezi huu si ajabu ikagonga 200,000 likes. Tujihongereshe na kupongezana. Upendo udumu kati yetu!
Hongera kwa Wote.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unataka tuliamshe dude....nipo Sumbawanga bado
Saivi tupo tunajiandaa na mzee mwenzagu ho chi minh tuingie viwanja na weekend hii.
Pesa ya kustaafu tumepokea hivi karibuni.

Tunaenda kubeba totozi tu.
We huko ulipo tutakupoteza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Amen.Mkuu kuna muda mihemko ya kubishana inazidi kipimo hadi ina kuwa kikwazo kwa wengine,tuvumiliane tu.Malumbano ya mzee wa liver na ho chi minh leo na vita ya andjul na Kichwa kichafu jana hayana uhalisia wowote,lengo ni kuupamba uzi wetu kwa nakshi tofauti.Hata carba wala sio mbea kiviiiiileee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Walio sema like zetu ni fake acha tuwa hakikishie kuwa sio fake kwa umoja wetu.Mungu yupo upande wetu.Ahsante mkuu Shimba ya buyenze (shemejiiii)
Well said bro
 
Back
Top Bottom