Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
AiseeJifunze kuwekeza pesa haikai kwenye mfuko wa suruali!!
AiseeMafanikio yako ni siri yako kuna watu hawapendi kuyasikia.
SawaJifunze kuwekeza pesa haikai kwenye mfuko wa suruali!!
SawaUsipime thamani yako kwa sauti ya watu, maana dunia huwa bubu wakati unajenga, lakini inapiga kelele ukifanikiwa. Jifunze kustawi kimya kimya, ukijua kuwa miti mirefu haikui kwa haraka — bali kwa uthabiti wa mizizi isiyoonekana
SawaUsipime thamani yako kwa sauti ya watu, maana dunia huwa bubu wakati unajenga, lakini inapiga kelele ukifanikiwa. Jifunze kustawi kimya kimya, ukijua kuwa miti mirefu haikui kwa haraka — bali kwa uthabiti wa mizizi isiyoonekana
KweliUsipime thamani yako kwa sauti ya watu, maana dunia huwa bubu wakati unajenga, lakini inapiga kelele ukifanikiwa. Jifunze kustawi kimya kimya, ukijua kuwa miti mirefu haikui kwa haraka — bali kwa uthabiti wa mizizi isiyoonekana
Sawasawahautawahi kuwa tayari 100% na haitakuwa wakati sahihi tu, lakini ndio maana. Ina maana kwamba kila wakati pia ni wakati sahihi. ikiwa unataka, lazima ufanye tu wakati wowote.
KweliMali unayoitafuta sio yako ni ya familia yako usiitumie kwa fujo!
AiseeUsipime thamani yako kwa sauti ya watu, maana dunia huwa bubu wakati unajenga, lakini inapiga kelele ukifanikiwa. Jifunze kustawi kimya kimya, ukijua kuwa miti mirefu haikui kwa haraka — bali kwa uthabiti wa mizizi isiyoonekana
Furaha ✔️Furaha yetu inapatikana kwenye maumivu ya wenginie .
SawaMaisha Ni Kama Mtihani Usitishwe Na Anaetoka Kabla Yako, Fanya Kwa Wakati Wako.
MuhimuMaisha Ni Kama Mtihani Usitishwe Na Anaetoka Kabla Yako, Fanya Kwa Wakati Wako.
Furaha yako ✔️Furaha yetu inapatikana kwenye maumivu ya wenginie .
SawasawaUkiweza kushinda woga na tamaa za hovyo hovyo katika kutafuta pesa, kilichobaki ni muda tu.Kitu muhimu zaidi baada ya hapo ni maarifa sahihi.Muda ukifika, hakuna kitakachokuzuia, lazima utatoboa.
NakubalianaUkiweza kushinda woga na tamaa za hovyo hovyo katika kutafuta pesa, kilichobaki ni muda tu.Kitu muhimu zaidi baada ya hapo ni maarifa sahihi.Muda ukifika, hakuna kitakachokuzuia, lazima utatoboa.
Ujumbe muhimuKumbuka Unaweza Kuchelewa, Kuanza Upya, Kupoteza Vyote, Kushindwa Tena Na Tena Lakini Bado ....Ukafanikiwa
Ukafanikiwa✔️Kumbuka Unaweza Kuchelewa, Kuanza Upya, Kupoteza Vyote, Kushindwa Tena Na Tena Lakini Bado ....Ukafanikiwa
SawaJitahidi uwe mfano wa kuigwa sio wa kurekebishia makosa!!