myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌📌Kama unatafuta mtu wa kubadili maisha yako kwa namna yeyote angalia kwenye kioo utamuona
📌📌📌Kama unatafuta mtu wa kubadili maisha yako kwa namna yeyote angalia kwenye kioo utamuona
SawaKuanza ndio changamoto, lakini ukishaanza huenda ukajilaumu kwa nini hukuanza mapema
SawasawaHuwezi Kuyaona Mema Ya Mtu ikiwa Kila Siku Unamtazamia Kwenye Mabaya Pekee.
✔️Huwezi Kuyaona Mema Ya Mtu ikiwa Kila Siku Unamtazamia Kwenye Mabaya Pekee.
SawaPesa haijawahi kutosha,ukiona mtu anakupa jua kajinyima kwajili yako