myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
πππKama unatafuta mtu wa kubadili maisha yako kwa namna yeyote angalia kwenye kioo utamuona
SawaKuanza ndio changamoto, lakini ukishaanza huenda ukajilaumu kwa nini hukuanza mapema
SawasawaHuwezi Kuyaona Mema Ya Mtu ikiwa Kila Siku Unamtazamia Kwenye Mabaya Pekee.
βοΈHuwezi Kuyaona Mema Ya Mtu ikiwa Kila Siku Unamtazamia Kwenye Mabaya Pekee.
SawaPesa haijawahi kutosha,ukiona mtu anakupa jua kajinyima kwajili yako