carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23] [emoji23] [emoji23]ho chi minh ni ndugu yangu sana hamna vita kati yetu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ho chi minh leo viwanja vya wapi tukamwage pesa maana pesa ya wastaafu ndio tumepokea hivi karibuni. [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unataka tuliamshe dude....nipo Sumbawanga badoNakuponda na Rungu la LIKES kwa kuwa adui yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unanichokoza[emoji23][emoji23][emoji23]mimi sipendi kupitwa na matukio[emoji23][emoji23][emoji23]Amen.Mkuu kuna muda mihemko ya kubishana inazidi kipimo hadi ina kuwa kikwazo kwa wengine,tuvumiliane tu.Malumbano ya mzee wa liver na ho chi minh leo na vita ya andjul na Kichwa kichafu jana hayana uhalisia wowote,lengo ni kuupamba uzi wetu kwa nakshi tofauti.Hata carba wala sio mbea kiviiiiileee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Walio sema like zetu ni fake acha tuwa hakikishie kuwa sio fake kwa umoja wetu.Mungu yupo upande wetu.Ahsante mkuu Shimba ya buyenze (shemejiiii)
Hongera kwa Wote.Tupendane. Tutaniane. Mtu akikwazika anasema. Tunasameheana na kusonga mbele. Uzi hauna miezi hata miwili tayari umegonga 150K. Wale wengine wana miaka karibu miwili bado wanachezea 240K. Mwishoni mwa mwezi huu tu tukiendelea hivi huu utakuwa ndiyo uzi maarufu zaidi hapa. Tayari tunayo rekodi ya likes nyingi zaidi - rekodi ambayo sidhani kama itakaa ivunjwe kwa sababu nayo mwishoni mwa mwezi huu si ajabu ikagonga 200,000 likes. Tujihongereshe na kupongezana. Upendo udumu kati yetu!
Mzee wa liveeeeeeeer eeeee kuja huku. Eti wewe ni bubu? Sio mimi,kasema kichwaBubu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Samahani mental wangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unanichokoza[emoji23][emoji23][emoji23]mimi sipendi kupitwa na matukio[emoji23][emoji23][emoji23]
Poa Mkuu nimekupataAmetumbukia kwenye shimo,mafuriko ya Dar
Tutajua tu hili neno limetoka wapi[emoji23] [emoji23]Mzee wa liveeeeeeeer eeeee kuja huku. Eti wewe ni bubu? Sio mimi,kasema kichwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] anakusingizia?Ubuyu huu si wa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Saivi tupo tunajiandaa na mzee mwenzagu ho chi minh tuingie viwanja na weekend hii.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unataka tuliamshe dude....nipo Sumbawanga bado
Ndio kakaThe choosen one
Well said broAmen.Mkuu kuna muda mihemko ya kubishana inazidi kipimo hadi ina kuwa kikwazo kwa wengine,tuvumiliane tu.Malumbano ya mzee wa liver na ho chi minh leo na vita ya andjul na Kichwa kichafu jana hayana uhalisia wowote,lengo ni kuupamba uzi wetu kwa nakshi tofauti.Hata carba wala sio mbea kiviiiiileee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Walio sema like zetu ni fake acha tuwa hakikishie kuwa sio fake kwa umoja wetu.Mungu yupo upande wetu.Ahsante mkuu Shimba ya buyenze (shemejiiii)