CleverKINGKama ubinadamu kazi mbona hatulipwi mishahara?
PipiJojo
Amen sis...Wewe ni kiongozi na mwanamke wa shoka hasa. Hata hapa hilo liko wazi. Na busara umejaliwa. Na pesa zinakupenda. Na unapendwa na watu. The sky is the limit kwa kweli...[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Excellent
Well said!
Upendo!
Stress free zone!