moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
📌📌Muheshimu sana anaye kupikia chakula, Maana bei ya sumu ni ndogo sana.
✔️✔️Kufa ni rahisi sana kuliko kuishi, Ndio maana Binadamu wengi Tunawaza Tutaishi vipi sio tutakufaje.
SawaMuheshimu sana anaye kupikia chakula, Maana bei ya sumu ni ndogo sana.
AiseeKufa ni rahisi sana kuliko kuishi, Ndio maana Binadamu wengi Tunawaza Tutaishi vipi sio tutakufaje.
Hapo ulipo simama kuna mtu anapataka, Icho ulicho kishika kuna mtu anakihitaji pia, Jifunze Kuthamini kila ulicho nacho.
AiseeUkitamtanguliza Mungu Kwa Kila Jambo Hata Miguu Yako Haitapotea Njia
KweliRoho mbaya inapunguza wateja kwenye biashara, Ila huruma itakufanya Ufilisike Kabisa.
Huwezi kuwa jasiri kila wakati, Kuna time ruhusu machozi yatoke Ili moyo ubaki na Amani.
Huwezi kuwa jasiri kila wakati, Kuna time ruhusu machozi yatoke Ili moyo ubaki na Amani.
Uko SawasawaUkitamtanguliza Mungu Kwa Kila Jambo Hata Miguu Yako Haitapotea Njia
SawaMuda hauponyeshi maumivu yetu, ila unatufundisha jinsi ya kuishi nayo.
Muda hauponyeshi maumivu yetu, ila unatufundisha jinsi ya kuishi nayo.
Ukielewa kwanini unavaa nguo, utagundua siri ya maisha huanza kwenye utupu. Jitunze
Mwenye akili hujifunza kupitia makosa ya watu wajinga , lakini mpumbavu hupata hekima kwa kulipia gharama ya ujinga wake mwenyewe
✅️✅️✅️Ukielewa kwanini unavaa nguo, utagundua siri ya maisha huanza kwenye utupu. Jitunze