Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mara nyingi, maamuzi tunayoogopa ndiyo hasa yanayobeba mabadiliko tunayoyahita maishani. Hofu hukuzuia kuona picha kubwa lakini ndani yake kuna nafasi ya kukua, kubadilika na kuvuka mipaka uliyoiweka mwenyewe.Nb; Usiogope kuchukua hatua kwa sababu ya hofu ya kushindwa..