Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mh Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa june 27 atalihutubia Bunge katika kuhitimisha shughuli zake.
Kwa lugha za kisiasa tunasema bunge la Tanzania 'linavunjwa' baada kumaliza muda wake.
Katika makala hii tutaliangazia bunge la 12 namna lilivyoshugulika na changamoto za kisiasa mpaka kumaliza muda wake.
Makala ya BBC.