myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️
Mafanikio hayajengwi najuhudi zako pekee, kumbuka pia kuishi na watu vizuri

AiseeJinsi utakavyoishi na watu leo, ndivyo watakavyokukumbuka kesho
✅️✅️Unapoishi mahali jichanganye na watu wakujue ,Upweke wa kukaa peke yako ni mbaya lakini upweke wa kutokutambulika ukiwa katikati ya watu ndio mbaya zaidi.
Ukifikiri anayeongea sana kwenye vikao na mazungumzo ndiye anayejua, utapishana na uzoefu mwingi uliofichika kwenye ukimya na utulivu.Usichanganye ufundi wa kuongea na maarifa. Usifanye kosa la kufikiri asiyetaka kuchangia sana kikaoni hana maarifa. Si mara zote maneno mengi hubeba maarifa. Utulivu ni vazi la maarifa. Maarifa huambatana na uwezo wa kusikiliza.
Kwa kila unayekutana nae kuna eneo yeye ni bora zaidi kuliko wewe , hivyo usiruhusu dharau ikawa kikwazo kwa wewe kujifunza mambo mapya kutoka kwa watu wapya
📌📌📌Watu hubadilika na hawatoi taarifa. Kila unapokutana na mtu usiamini unamjua sana. Muda na matukio hubadisha watu
Ukifikiri anayeongea sana kwenye vikao na mazungumzo ndiye anayejua, utapishana na uzoefu mwingi uliofichika kwenye ukimya na utulivu.Usichanganye ufundi wa kuongea na maarifa. Usifanye kosa la kufikiri asiyetaka kuchangia sana kikaoni hana maarifa. Si mara zote maneno mengi hubeba maarifa. Utulivu ni vazi la maarifa. Maarifa huambatana na uwezo wa kusikiliza.
Tunaogopa kaupweke fulani tunachokahitaji, tunaongea muda wote, tunawasiliana kupitiliza, hata tunaponyamaza bado tunafikiri vitu tusivyoweza kuvibadilisha na hatutulii mahali na kufurahia hali ya utulivu unaochochea haja ya kuturudisha ndani yetu na kujisemesha.
Muda mwingi tunaoutumia kuongelea matukio, kuongelea watu, kutolea maoni karibu kila kinachotokea unatunyima utulivu wa kujisikiliza, kujitazama, kujikosoa, kujipongeza panapostahili na hata kuzungumza na nafsi zetu.