Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata kwa tabia mbaya na maamuzi mabaya, mara nyingi huwezi kuona matokeo haraka. Kadri unavyojizoeza tabia fulani ndivyo ubongo unavyokusaidia kukuaminisha uko salama na hutoona madhara haraka. Hatua kwa hatua unautengenezea ubongo mfumo wa kutegemea mazoea hayo mabovu na unakuja kustuka umekuwa mraibu uliyekubuhu kwenye ubaya na huwezi tena kuacha.
Sawa
 
Ujumbe
 
UJUMBE MUHIMU
 
Ukiaminiwa kuzijua aibu za mtu umebebeshwa mzigo mzito.Kuaminiwa ni kula kiapo cha utii.

Hata mkigombana na mtu aliyekuamini, unawajibika kumsitiri na kuheshimu faragha yake.

Ikiwa unajua huna kifua cha kumstahi mtu na aibu zake epuka kufahamu mambo yake ya ndani.
✔️✔️
 
Tatizo kubwa la mazoea ni namna yanavyoleta mabadiliko madogo madogo, saa nyingine hayaonekani kwa macho, yanakuja kwa mwendo wa kinyonga, mdogo mdogo, hatua kwa hatua. Ukitaka kuona matokeo kwa haraka utakosa subira, utaruka hatua muhimu, utaishia kuharibu mchakato au utaachia njiani.
Ujumbe, Nakubaliana
 
📌📌📌

Back
Top Bottom