Utoshelevu katika maisha hautegemei idadi kubwa ya watu mnaofahamiana bali marafiki wachache mnaoaminiana, mnaositiliana, mnaostahiana na kuheshimiana,
Hata kwa tabia mbaya na maamuzi mabaya, mara nyingi huwezi kuona matokeo haraka. Kadri unavyojizoeza tabia fulani ndivyo ubongo unavyokusaidia kukuaminisha uko salama na hutoona madhara haraka. Hatua kwa hatua unautengenezea ubongo mfumo wa kutegemea mazoea hayo mabovu na unakuja kustuka umekuwa mraibu uliyekubuhu kwenye ubaya na huwezi tena kuacha.

Tatizo kubwa la mazoea ni namna yanavyoleta mabadiliko madogo madogo, saa nyingine hayaonekani kwa macho, yanakuja kwa mwendo wa kinyonga, mdogo mdogo, hatua kwa hatua. Ukitaka kuona matokeo kwa haraka utakosa subira, utaruka hatua muhimu, utaishia kuharibu mchakato au utaachia njiani.

Tunachojifunza, kimaumbile, badiliko la maana la kitabia linaanzia pasipoonekana na huchukua muda kuleta matokeo. Badiliko kubwa linaanza ‘ndani’ ya mtu (fikra, imani, mitazamo) na inaweza kuchukua muda matokeo yake kuonekana kwa watu.

Mbegu huota kwenda chini kwanza kabla haijachipusha chochote kinachoonekana juu ya udongo. Uhai unaanzia chini kusikoonekana (mizizi) kisha juu panapoonekana (majani).

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.