Mbegu huota kwenda chini kwanza kabla haijachipusha chochote kinachoonekana juu ya udongo. Uhai unaanzia chini kusikoonekana (mizizi) kisha juu panapoonekana (majani).
Maarifa tunayopata shuleni yanaisha muda wake wa matumizi kwa kasi sana. Ili uweze kukabiliana na dunia ya Leo ni lazima ujenge utamaduni kwa kutafuta maarifa mapya kila siku. Jua nini kinaendelea kwenye aina ya kazi/Biashara yako

Ukipata mtu anayeweza kukusikiliza kwa umakini —mtu unayemwamini; anayekufanya ujisikie kueleweka; asiyekulaumu na kukuhukumu kwa makosa ulofanya— utapona nusu ya magonjwa yanayokusumbua.
Magonjwa yetu mengi ni upweke wa nafsi iliyokosa mtu wa kutusilikiza na kutuelewa

Unaweza kumtenganisha mkosaji na kosa lake. Unaweza kuzungumzia kosa na ukamheshimu mkosaji. Unaweza kumkosoa mtu na ukautunza utu wake. Ukiuweza mtihani huo mgumu mkosolewaji atakusikiliza na uwezekano wa kuufanyia kazi ukosoaji wako unakuwa mkubwa.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.