Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20250626-065445_Web Browser.png
 
Faragha huongeza utulivu wa nafsi.
Utulivu, unaoupata unapokuwa mahali peke yako, hukupa muda wa kurudi ndani yako, kujitafakari, kujikosoa na kujitambua kuliko unapozungumza na kuzungukwa na watu muda wote.
 
Ukiaminiwa kuzijua aibu za mtu umebebeshwa mzigo mzito.Kuaminiwa ni kula kiapo cha utii.

Hata mkigombana na mtu aliyekuamini, unawajibika kumsitiri na kuheshimu faragha yake.

Ikiwa unajua huna kifua cha kumstahi mtu na aibu zake epuka kufahamu mambo yake ya ndani.
 
Utoshelevu katika maisha hautegemei idadi kubwa ya watu mnaofahamiana bali marafiki wachache mnaoaminiana, mnaositiliana, mnaostahiana na kuheshimiana,
 
Back
Top Bottom