myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asubuhi njema wakusoma na waalimu wenu
Furahia Hapo Ulipo,Ukipata Pengine Furahia Hapo Pia,Maisha Yana Vituo Vingi.
✔️✔️Kumbuka, cha bure ni pumzi tu kila kitu unapaswa kuweka jitihada. Ulimwengu hautakupa chochote bila jitihada
Kumbuka, cha bure ni pumzi tu kila kitu unapaswa kuweka jitihada. Ulimwengu hautakupa chochote bila jitihada
Kumbuka, cha bure ni pumzi tu kila kitu unapaswa kuweka jitihada. Ulimwengu hautakupa chochote bila jitihada
📌📌Kwenye Dunia Ambayo Anayejua Kesho Yetu Ni Mungu Pekee,Kamwe Usiwe Mwepesi Wa Kushangilia Na Kufurahia Kuanguka,Kuteseka Au kushindwa Kwa Mwenzako Maisha Huwa Yanabadilika
AiseeKuna muda tunachoka ila uzito wa shida zetu ndizo zinazotufanye tuendelee kupambana
SawaKuna muda tunachoka ila uzito wa shida zetu ndizo zinazotufanye tuendelee kupambana
Kwenye Dunia Ambayo Anayejua Kesho Yetu Ni Mungu Pekee,Kamwe Usiwe Mwepesi Wa Kushangilia Na Kufurahia Kuanguka,Kuteseka Au kushindwa Kwa Mwenzako Maisha Huwa Yanabadilika
Kuna muda tunachoka ila uzito wa shida zetu ndizo zinazotufanye tuendelee kupambana
Kwenye Dunia Ambayo Anayejua Kesho Yetu Ni Mungu Pekee,Kamwe Usiwe Mwepesi Wa Kushangilia Na Kufurahia Kuanguka,Kuteseka Au kushindwa Kwa Mwenzako Maisha Huwa Yanabadilika
Siku zote ishi Maisha ya kuwachanganya watu, Watasema Negative kuhusu wewe bila Mafanikio na utazidi kuwa imara
Kweli kabisaDunia ya sasa heshima inakuja kutokana na pesa unazomiliki sio umri wala elimu kiasi gani uliyonayo.
KweliKatika maisha ishi ukitambua kwamba mtu yoyote anaweza kubadilika bila kujali historia
NakubalianaKatika maisha ishi ukitambua kwamba mtu yoyote anaweza kubadilika bila kujali historia