Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ukisubiri HESHIMA Muda Huu Utangoja Sana. Kikubwa Fanya Wajibu wako Tu Halafu Kaa Kimya
MambooUkisubiri HESHIMA Muda Huu Utangoja Sana. Kikubwa Fanya Wajibu wako Tu Halafu Kaa Kimya
Mamboo
Una nini leo?Huwezi kuvuna usichopanda. Ni upuuzi kusubiri matokeo bila juhudi. Ni sawa na chizi kusubiri kuokotewa makopo
Naona unashusha comment back to back, are you okay?