Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu kumbe kwa piere aubameyang not yet comfirmed.
Nilijua mmemaliza deal kuchukua.

Ila tutawamudu tu mkuu japo msimu ulioisha tulijikongoja ila tukafika na morinho.
Mkuu huyo Aubameyang bado tunahesabu masaa. Tulikuwa tunakamilishana na Tiemoue Bakayoko kwa vile Man utd mlitaka kuharibu kama ilivyo kwa Lukaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…