Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amen.Mkuu kuna muda mihemko ya kubishana inazidi kipimo hadi ina kuwa kikwazo kwa wengine,tuvumiliane tu.Malumbano ya mzee wa liver na ho chi minh leo na vita ya andjul na Kichwa kichafu jana hayana uhalisia wowote,lengo ni kuupamba uzi wetu kwa nakshi tofauti.Hata carba wala sio mbea kiviiiiileee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Walio sema like zetu ni fake acha tuwa hakikishie kuwa sio fake kwa umoja wetu.Mungu yupo upande wetu.Ahsante mkuu Shimba ya buyenze (shemejiiii)
Asante sana. Na mtu akiona utani unamwelemea anaomba poo na mambo yanasonga mbele. Pamoja!
 
Back
Top Bottom