Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata mimi niliona nikapotezea. Baadaye nikarudi kusoma lugha ya Kigagagigikoko ya Ukhuty. Na sikuondoka tena japo nilikuwa napitisha hata siku tatu bila Kuchungulia....

Hebu fikiria opportunities mbalimbali za kiuchumi ambazo huwa zinatujia lakini tunazipotezea ama kwa kudharau tu au kwa kudhani kuwa ni concept ya kijinga na haitafika popote + sababu zinginezo. Mark Zuckerberg alichekwa sana alipowaeleza wenzake bwenini Harvard kuhusu Facebook. Wengine waliondoka bila kujali. Founder wa Uber hali kadhalika. Mifano ni mingi....
Kweli bro yaani kunavitu vingine bhana kama ovyo kumbe
 
Kizimbuzi ndiye alitenda dhambi kunitag tar 16 siku ya kwanza wa uzi .
Hadi leo nimeng'ang'ania humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hata mimi niliona nikapotezea. Baadaye nikarudi kusoma lugha ya Kigagagigikoko ya Ukhuty. Na sikuondoka tena japo nilikuwa napitisha hata siku tatu bila Kuchungulia....

Hebu fikiria opportunities mbalimbali za kiuchumi ambazo huwa zinatujia lakini tunazipotezea ama kwa kudharau tu au kwa kudhani kuwa ni concept ya kijinga na haitafika popote + sababu zinginezo. Mark Zuckerberg alichekwa sana alipowaeleza wenzake bwenini Harvard kuhusu Facebook. Wengine waliondoka bila kujali. Leo hii wameandika mpaka vitabu! Founder wa Uber hali kadhalika. Mifano ni mingi....
Kweli kabisa. Ila kinachonishangaza mwenye uzi kaupotezea kama sio yeye. Badala angekuja akaoga likes za kutosha.
 
Back
Top Bottom