Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
HahahaKweli kabisa. Ila kinachonishangaza mwenye uzi kaupotezea kama sio yeye. Badala angekuja akaoga likes za kutosha.
HahahaKweli kabisa. Ila kinachonishangaza mwenye uzi kaupotezea kama sio yeye. Badala angekuja akaoga likes za kutosha.
Saa4 tayariHiyo hiyo day 16 siku ya uzi kuanzishwa na kaka yang the choosen one kunitag ndio akamsha dude nilipokuwepo hadi humu ndani.
Heshima zako brother wangu the choosen one [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ahaha una vituko weweNimejaribu kwenda jukwaa la siasa leo tusi la kwanza tu ndukiiiiii....
Aisee. Bageshi!Nimekumbuka wanaita mbute
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekumbuka wanaita mbute
Huwa naenda nyuzi nyingine kuongeza idadi ya messages tu. Humu ndo pamekua MakaziMimi kwa bahati mbaya nikipita nyuzi nyingine naona panaboa.
Hahahahaha uzi umenifanya nichelewe ngoja twende aiseeeh.Saa4 tayari
Ila bado nimetoka kuchunguliaHahahahaha uzi umenifanya nichelewe ngoja twende aiseeeh.
Nashukuru sana kwa kunikumbusha.
Aisee. Bageshi!
Ni kweli. Nimeweka comment yangu tena neutral kabisa haina chembe ya ufisi wala unyumbu jamaa akanikwoti chap chap halafu akasema "We kibuyu tulia. Hujui unachoongea". Basi nikatoka nduki na kurudi huku jasho likinitoka.ahaha una vituko wewe
Huwa anakuja kwa kubipu bipu.Hahaha
Hahahaa nimetaman angeniquote mie aiseee ningepotea humu kwa muda na kuweka makaz ndan ya uzi huo. Napenda ligi hahahaNi kweli. Nimeweka comment yangu tena neutral kabisa haina chembe ya ufisi wala unyumbu jamaa akanikwoti chap chap halafu akasema "We kibuyu tulia. Hujui unachoongea". Basi nikatoka nduki na kurudi huku jasho likinitoka.
Afu nyuzi nyingine unakuta page mbili hakuna hata post yenye like hata 3 basi sijui naonAje naborekaHuwa
Huwa naenda nyuzi nyingine kuongeza idadi ya messages tu. Humu ndo pamekua Makazi
[emoji23] [emoji23] pole sana shemejiNi kweli. Nimeweka comment yangu tena neutral kabisa haina chembe ya ufisi wala unyumbu jamaa akanikwoti chap chap halafu akasema "We kibuyu tulia. Hujui unachoongea". Basi nikatoka nduki na kurudi huku jasho likinitoka.
Ila majukwaa mengine amejaa teleFounder anaingiaga kwa kubeep
Eti kibuyu uyo atakuwa wa mbagala hahahahahaNi kweli. Nimeweka comment yangu tena neutral kabisa haina chembe ya ufisi wala unyumbu jamaa akanikwoti chap chap halafu akasema "We kibuyu tulia. Hujui unachoongea". Basi nikatoka nduki na kurudi huku jasho likinitoka.