Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Alikuwa mungu wa Ulaya Yesu Kristo Akaja na kumtokomeza mazima!zeus
sent from my dell inspiron
Alikuwa mungu wa Ulaya Yesu Kristo Akaja na kumtokomeza mazima!zeus
sent from my dell inspiron
Kuna uzi nimeuona kaanzisha Kichwa,Bigbaba kam quote then kaandika kula like[emoji23] [emoji23]Acha tu love yaani humu, ila sababu kwingine huko unaweza jiona Mgeni but huku full kujiachia
Uzi mtamu huu hasa kwenye mbio za ushind pananogaNa ataumwa kwakwel mana huu uzi haufai
Huyu ndo mwenye linyundo lenye kutoa radi? Huyu hata Ng'wanamalundi wangu hamfikii huyu aisee. Sema tu kwa vile yeye ni wa Ulaya!thor
sent from my dell inspiron
Ahahaha kazoea humuKuna uzi nimeuona kaanzisha Kichwa,Bigbaba kam quote then kaandika kula like[emoji23] [emoji23]
Afu si wengine mioyo yetu ikidondoka ndo hapo hapo yaani atutoki. I feel kama ninashare zangu humuHuu uzi ushakulevya sasa ni wakati wa kupumzika,hamia hata jamii photos kule
Zile mbio ni hatari,sema leo nasikitika nilizikosaUzi mtamu huu hasa kwenye mbio za ushind pananoga
Sawa sawa ila nawe kuwa makini maana kutekwa humu nje nje nami naweza tekwaAkiweka niite nipo hapa
Za leo hazikua tamu maana coco alikosekana na wewe piaZile mbio ni hatari,sema leo nasikitika nilizikosa
Muhenga wa uziHahahahahahahahaha
Kacnia awarded yo a trophy
(Kichwa chimbuzi)