Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MUDA ni mtaji usioonekana.

Ukiutumia vibaya, huwezi kuurudisha.

Uki-uwekeza vizuri, utakupa matunda ya maisha bora.

Jifunze kupanga siku zako kama vile unavyopanga bajeti.

Usipoteze muda wako kizembe.

Mafanikio yapo ndani ya MUDA.
 
Maisha ya kiwa magumu kaa kimya

Maisha yakiwa mazuri kaa kimya

Michongo ina tiki kaa kimya

Hakuna mtu anapenda ufanikiwe watu wanapenda uteseke tu

Be private in any situations in your life

Matunda utayaona.
 
Mwanzo wako mbaya katika Maisha, Masomo, Kazi na biashara haimaanishi kuwa mwisho wako pia utakuwa mbaya. Washindi huwa hawakubali kuacha kupambania ndoto zao eti kwasababu walikuwa na mwanzo mbaya. Inuka jifunze toka kwa makosa ya zamani, pambana na Mtangulize MUNGU, utashinda.
 
Usitegemee hisani katika maisha yako kwani gharama yake ni kubwa sana, amini katika kujituma na kujisimamia mwenyewe utakua na uhuru mkubwa kula matunda ya mafanikio yako.
 
Usitegemee hisani ktk maisha yako kwani gharama yake ni kubwa sana, amini ktk kujituma na kujisimamia mwenyewe utakua na uhuru mkubwa kula matunda ya mafanikio yako.
 
Ukipanda mema bila matarajio, mavuno yake huwa ya kushangaza.
Kuwa mwema si udhaifu, ni nguvu ya roho iliyojaa utulivu.
Wema wa kweli hauna masharti ni zawadi unayojipa kabla ya kumpa mwingine
 
Back
Top Bottom