myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sio kwamba umeshindwa, umeanguka tu.
Na kuanguka haina maana umeshindwa.
Kuanguka si udhaifu, ni njia ya kujifunza tena.
Jipe ruhusa ya kujijenga upya, unastaili ushindi
SAWASAWAMaisha ya kiwa magumu kaa kimya
Maisha yakiwa mazuri kaa kimya
Michongo ina tiki kaa kimya
Hakuna mtu anapenda ufanikiwe watu wanapenda uteseke tu
Be private in any situations in your life
Matunda utayaona.
MUDA ni mtaji usioonekana.
Ukiutumia vibaya, huwezi kuurudisha.
Uki-uwekeza vizuri, utakupa matunda ya maisha bora.
Jifunze kupanga siku zako kama vile unavyopanga bajeti.
Usipoteze muda wako kizembe.
Mafanikio yapo ndani ya MUDA.

✅️✅️MUDA ni mtaji usioonekana.
Ukiutumia vibaya, huwezi kuurudisha.
Uki-uwekeza vizuri, utakupa matunda ya maisha bora.
Jifunze kupanga siku zako kama vile unavyopanga bajeti.
Usipoteze muda wako kizembe.
Mafanikio yapo ndani ya MUDA.
✔️✔️✔️Usiishi maisha kwa kutaka kumpendeza kila mtu
Jenga maisha yatakayokuvutia hata ukiwa peke yako.
Self care and self love is POWER.
Kujikubali kunaanzia ndani
Kama UJIAMINI hakuna hatakaekuamini
ila UKIJIKUBALI, dunia nayo itaanza kukubali
Ukishindwa kujijenga ndani ni ngumu sana kuwa IMARA.
Rise your standards.
Maisha ya kiwa magumu kaa kimya
Maisha yakiwa mazuri kaa kimya
Michongo ina tiki kaa kimya
Hakuna mtu anapenda ufanikiwe watu wanapenda uteseke tu
Be private in any situations in your life
Matunda utayaona.
✔️✔️Kwenye mapambano yetu ya maisha tusifikiri mafanikio na baraka pekee toka kwa MUNGU ni utajiri wa fedha na mali. Daima tusisahau kumuomba baraka nyingine kama vile afya njema, familia bora, akili yenye utulivu, amani na furaha maishani.
📌📌Ukipanda mema bila matarajio, mavuno yake huwa ya kushangaza.
Kuwa mwema si udhaifu, ni nguvu ya roho iliyojaa utulivu.
Wema wa kweli hauna masharti ni zawadi unayojipa kabla ya kumpa mwingine
✔️✔️Ukipanda mema bila matarajio, mavuno yake huwa ya kushangaza.
Kuwa mwema si udhaifu, ni nguvu ya roho iliyojaa utulivu.
Wema wa kweli hauna masharti ni zawadi unayojipa kabla ya kumpa mwingine
SawaUsitegemee hisani ktk maisha yako kwani gharama yake ni kubwa sana, amini ktk kujituma na kujisimamia mwenyewe utakua na uhuru mkubwa kula matunda ya mafanikio yako.
✅️✅️Maisha ya kiwa magumu kaa kimya
Maisha yakiwa mazuri kaa kimya
Michongo ina tiki kaa kimya
Hakuna mtu anapenda ufanikiwe watu wanapenda uteseke tu
Be private in any situations in your life
Matunda utayaona.
👍👍Usitegemee hisani katika maisha yako kwani gharama yake ni kubwa sana, amini katika kujituma na kujisimamia mwenyewe utakua na uhuru mkubwa kula matunda ya mafanikio yako.
Mwanzo wako mbaya katika Maisha, Masomo, Kazi na biashara haimaanishi kuwa mwisho wako pia utakuwa mbaya. Washindi huwa hawakubali kuacha kupambania ndoto zao eti kwasababu walikuwa na mwanzo mbaya. Inuka jifunze toka kwa makosa ya zamani, pambana na Mtangulize MUNGU, utashinda.
👍👍Mwanzo wako mbaya katika Maisha, Masomo, Kazi na biashara haimaanishi kuwa mwisho wako pia utakuwa mbaya. Washindi huwa hawakubali kuacha kupambania ndoto zao eti kwasababu walikuwa na mwanzo mbaya. Inuka jifunze toka kwa makosa ya zamani, pambana na Mtangulize MUNGU, utashinda.
✔️✔️✔️Mwanzo wako mbaya katika Maisha, Masomo, Kazi na biashara haimaanishi kuwa mwisho wako pia utakuwa mbaya. Washindi huwa hawakubali kuacha kupambania ndoto zao eti kwasababu walikuwa na mwanzo mbaya. Inuka jifunze toka kwa makosa ya zamani, pambana na Mtangulize MUNGU, utashinda.
✅️✅️✅️Kwenye mapambano yetu ya maisha tusifikiri mafanikio na baraka pekee toka kwa MUNGU ni utajiri wa fedha na mali. Daima tusisahau kumuomba baraka nyingine kama vile afya njema, familia bora, akili yenye utulivu, amani na furaha maishani.