Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kushindwa kufanya jambo fulani kwa ufanisi haimanishi umefeli hapana wakati mwingine tunaitaji zaidi kujaribu kuliko kutokufanya kabisa kujaribu ni hatua moja wapo kuweza kushinda tusikate tamaa nYakati ngumu siku zote hazidumu.