myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kuna kitu kilikua kinaumiza sana kwenye mtihani pale muda umekwisha unaambiwa na msimamizi wa mtihani au mwalimu pen down muda umekwisha aya wote simama so hata kwenye maisha kuna muda pia jiandae kwa kila aina Ya nyakati..
Kufanikiwa Kupo Ndani Ya Watu Na Jitahidi Kugusa Maisha Ya Watu"
Tafakari Vyema Juu Ya Maneno Hayo.
Shida hutukutanisha na watu wengi kuliko furaha, shida hukufanya uwaelewe binadamu kwa undani zaidi, shida hutupa unyenyekevu wa kujifunza ambayo tusingeyajua, shida huibua vipawa ndani yetu, shida hutupa hasira ya maisha, shida hutusogeza karibu na Mungu. Shida kiasi ni afya!"

Ukiwa mahiri na jasiri na mwenye kujiamini kwa kila jambo basi jua kabisa watakuofia na pengine watatengeneza kila aina Ya ujmaa kuweza kukupoteza au kukudhoofisha kwa kile ambacho unafanya
Ukijifunza kujisimamia mambo yako peke Yako kamwe hautawalaumu watu juu ya kile unachokipitia..
Ukiwa mahiri na jasiri na mwenye kujiamini kwa kila jambo basi jua kabisa watakuofia na pengine watatengeneza kila aina Ya ujamaa kuweza kukupoteza au kukudhoofisha kwa kile ambacho unafanya