moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
AiseeKushindwa kufanya jambo fulani kwa ufanisi haimanishi umefeli hapana wakati mwingine tunaitaji zaidi kujaribu kuliko kutokufanya kabisa kujaribu ni hatua moja wapo kuweza kushinda tusikate tamaa nYakati ngumu siku zote hazidumu.
✔️✔️Kushindwa kufanya jambo fulani kwa ufanisi haimanishi umefeli hapana wakati mwingine tunaitaji zaidi kujaribu kuliko kutokufanya kabisa kujaribu ni hatua moja wapo kuweza kushinda tusikate tamaa nYakati ngumu siku zote hazidumu.
✅️✅️Kushindwa kufanya jambo fulani kwa ufanisi haimanishi umefeli hapana wakati mwingine tunaitaji zaidi kujaribu kuliko kutokufanya kabisa kujaribu ni hatua moja wapo kuweza kushinda tusikate tamaa nYakati ngumu siku zote hazidumu.
📌📌KwenYe haya maisha hakuna kitu kibaya na chenye kufedhehesha na kushusha thaman Ya mtu kama kuendekeza tamaa wakati mwingine mtu anashindwa kukubali hali halisi ya maisha yake aliyo nayo mbaka kupeleka kushusha thamani ya utu wake jikubali na ishi kwenye uhalisia wako..
AiseeKwenYe haya maisha hakuna kitu kibaya na chenye kufedhehesha na kushusha thaman Ya mtu kama kuendekeza tamaa wakati mwingine mtu anashindwa kukubali hali halisi ya maisha yake aliyo nayo mbaka kupeleka kushusha thamani ya utu wake jikubari na ishi kwenye uhalisia wako..
KwenYe aya maisha hakuna kitu kibaya na chanye kufedhehesha na kushusha thaman Ya mtu kama kuendekeza tamaa wakati mwingine mtu anashindwa kukubali hali halisi ya maisha yake aliyo nayo mbaka kupeleka kushusha thamani ya utu wake jikubari na ishi kwenye uhalisia wako..
📌📌Kushindwa kufanya jambo fulani kwa ufanisi haimanishi umefeli hapana wakati mwingine tunaitaji zaidi kujaribu kuliko kutokufanya kabisa kujaribu ni hatua moja wapo kuweza kushinda tusikate tamaa nYakati ngumu siku zote hazidumu.
Usiichoshe nafsi Yako kwa yale yanayosemwa dhidi yako kwa kuwa Mungu anayajua yaliyo ndani ya moyo wako basi inatosha..
Sala zina nguvu kweli wakati wa hofu uoga na matatizo zinatuunganisha na nguvu ya MUNGU Sala zinaponya mioyo sali kila wakati na MUNGU atatenda
Sala zina nguvu kweli wakati wa hofu uoga na matatizo zinatuunganisha na nguvu ya MUNGU Sala zinaponya mioyo sali kila wakati na MUNGU atatenda
👍👍Jifunze kuamini kuwa watu wanakuja na kuondoka kwenYe maisha Yetu wakati mwingine tunashindwa kukubari na kujikuta tunajitwisha mizigo mizito ambayo pengine inakuwa athari kubwa kwenye maisha yetu tujifunze kuachilia vitu ambavyo sio sahihi
Sala zina nguvu kweli wakati wa hofu uoga na matatizo zinatuunganisha na nguvu ya MUNGU Sala zinaponya mioyo sali kila wakati na MUNGU atatenda
Ishi na watu vizuri kwa upendo na ukarimu kama huwezi kuwafanya wawe na furaha basi usiwahuzunishe kama uwezi kuwasifu basi usiwatukane wala kuwadhalilisha na kama huwezi kuwalinda basi usiwadhuru