Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ijapokuwa inahitaji juhudi, ni jambo la muhimu sana kwenye maisha yako. Itakusaidia kuishi na watu, kutenda yaliyo sahihi, kuwaza yaliyo sahihi na kuwa na hekima katika maisha yako. Mtu anayejitambua na kufahamu kwa kina nini maana ya maisha kwake, tayari anakuwa amepiga hatua kubwa.
 
Lakini katika kujitambua kunahitaji kutoa mawazo ya watu kwa jinsi wanavyokuelewa. Inahitaji kujitenga na vile ambavyo havina manufaa kwako, kufahamu akili yako vyema, kufahamu mawazo yako vyema. Na hii ni kwa hatua moja baada ya nyingine.
 
Kujitambua ni kitendo cha hatua na hakina mwisho. Ni safari isiyo na mwisho. Kujifahamu vyema katika kila wakati uliopo, kuwa makini na akili yako na matendo yako, kuwa makini na mitazamo yako na kuishi katika njia sahihi inayokutenga na mabaya. Kufanya hivyo kutapelekea kuishi katika hekima, kuacha mabaya, kuwa mnyenyekevu, mwema, na kuishi katika kusudi sahihi la uumbaji.
 
Back
Top Bottom