Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heshimu mafanikio ya watu, hakuna aliefanikiwa kwa bahati tu, lazima kuna kitu alifanya kwanza ndipo akafanikiwa.
 
Chumvi Haina Thamani Kwa Anaye Kunywa Chai Kama Ilivyo Sukari Kwa Anaye Kunywa Supu. Hivyo Basi, Amini Hata Wewe Ni Mtu Wa Thamani Sana, Ila Ni Vile Tu Sehemu Ulipo Hakuna Uhitaji Wako.
 
Back
Top Bottom