Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
SIKIA, kuna vijimambo vidogovidogo ambavyo umekuwa ukivitenda bila kuelewa vinakugharimu kiasi gani katika maisha yako! Usiwaamini watu kupita kiasi. Jifunze kuwa na kiasi katika maisha yako hasa linapokuja suala la kudeal na watu