JK ama?Yuko nje ya nchi
HahahahaJK ama?
Wakora!Tupo beneti
Kazi kweli kweliJK ama?
Ulikua wapi hadi zikakupita leo?Siamini nimepigwa na 150k
Big up my dearTupendane. Tutaniane. Mtu akikwazika anasema. Tunasameheana na kusonga mbele. Uzi hauna miezi hata miwili tayari umegonga 150K. Wale wengine wana miaka karibu miwili bado wanachezea 240K. Mwishoni mwa mwezi huu tu tukiendelea hivi huu utakuwa ndiyo uzi maarufu zaidi hapa. Tayari tunayo rekodi ya likes nyingi zaidi - rekodi ambayo sidhani kama itakaa ivunjwe kwa sababu nayo mwishoni mwa mwezi huu si ajabu ikagonga 200,000 likes. Tujihongereshe na kupongezana. Upendo udumu kati yetu!
Aliyeshinda ameshinda kihalali? Isije ikawa kama wakati ule kwenye 100K watu walipigwa changa la macho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulikua wapi hadi zikakupita leo?
Yuleeee
NiceView attachment 543164
pasi ya mafuta ya taa