Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

upload_2017-7-15_23-22-53.png
 
Ni kweli. Nimeweka comment yangu tena neutral kabisa haina chembe ya ufisi wala unyumbu jamaa akanikwoti chap chap halafu akasema "We kibuyu tulia. Hujui unachoongea". Basi nikatoka nduki na kurudi huku jasho likinitoka.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siasa raha sana
 
Back
Top Bottom