myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
23:30
Teh teh teh tehNa ana njaa ya wiki
Ni uhaiUpendo si chuki
Na ya leo siyo ya keshoYa jana si ya leo
Ya tano ChatoYa nne jf
Lakini maneno matamu humtoa nyoka pangoniAmani haipatikani mpaka kwa ncha ya upanga
Uzi ukawa kama kawaWahenga wa uzi
Inaacha maini na figirisiInua moyo
Sema Sis. Rekodi nyingine ambayo haitakaa ivunjwe ni hii hapa:Shimba!
Ni kuichakachua foleniHati ya dharura
23:3223:28
Ukiangalia kwenye uzi huu unaweza ukaona kama ni member wageni kutokana na ushiriki wetu kuwa hafifu hapo kabla,wapo watu wana miaka 4 hadi 5 lakini comments hazifiki hata 50,na zote kashushuliwa.Wengi tulipoteza ujasiri wa Ku comment kwa hofu ya kashushuliwa na wajuaji.Lakini kwenye uzi wetu tumejuana hata tukikutana ugenini tunapeana like tu.Mambo ya kawaida shemeji. Siku hizi kidogo nimekua na nimejifunza kuwa njia nzuri wakati mwingine ni kupotezea tu. Labda mtu akizidi sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni muujiza30 dayz za uzi maalumu kesho
Tuko pamojaNaunga mkono hoja
Ntaoa kwa njia nyingine..Sema Sis. Rekodi nyingine ambayo haitakaa ivunjwe ni hii hapa:
Goddess ISIS mpaka sasa ana likes approximately 135,000. Ukigawanya hizi likes na siku 30 tangu uzi huu uanzishwe ina maana kila siku alikuwa anapata likes 4, 500. Yes, likes elfu nne na mia tano kwa siku kwa siku thelathini mfululizo.
Record hii ikivunjwa haki ya nani aliyeivunja hata kama ikitokea akamuoa mmojawapo wa dada zangu humu (ninao sita), sitamtoza mahari!
Again, congratulations Goddess ISIS [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]