Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati mwingine inasaidia hebu fikiria mtu ukimkimbia leo ujue kesho ukiingia tena jukwaa hilo atakufuata tena na ukikimbia atajiona kiboko yako. Ya nn kukosa uhuru ndan ya JF. Kule siasan wapo hivyo,mtu akiamua kukuandama anakuandama kweli.

Kuna mmoja alikua ananiandama kila kona kila jukwaa hadi kwenye threads zangu. Nikampa ukweli akakosa sababu ya kuniandama
Kuna mmoja juzi kati kanifuata hadi huku,nimempa jibu moja la kumkwaza likiwa na emoji za kucheka hadi leo hanipi like[emoji23] [emoji23] [emoji23] lakini namtwanga na like kila akipost
 
Back
Top Bottom