Nipe mji nimtwange na likes hadi avimbiweKuna mmoja juzi kati kanifuata hadi huku,nimempa jibu moja la kumkwaza likiwa na emoji za kucheka hadi leo hanipi like[emoji23] [emoji23] [emoji23] lakini namtwanga na like kila akipost
Muda siyo rafikiSwali la nyongeza Mheshimiwa
Ushawishi wa debeNjia gani mkuu?
Part of history and more than 134,000+ to one individual?151000
Taarifa keshoMheshimiwa Mwenyekiti taarifa, taarifa
Mbona wako wengi?Nikisema kabla sitapata mke
Ni kweli. Ni kupima upepo tu. Mtu akikuandama huyo basi ligi haikwepeki. Ila ligi za matusi tena yale makubwa ya kutukaniana mpaka mama, hizo huwa nazikwepa mpaka niwe cornered kabisa kabisa.Wakati mwingine inasaidia hebu fikiria mtu ukimkimbia leo ujue kesho ukiingia tena jukwaa hilo atakufuata tena na ukikimbia atajiona kiboko yako. Ya nn kukosa uhuru ndan ya JF. Kule siasan wapo hivyo,mtu akiamua kukuandama anakuandama kweli.
Kuna mmoja alikua ananiandama kila kona kila jukwaa hadi kwenye threads zangu. Nikampa ukweli akakosa sababu ya kuniandama