Exceptional recordSema Sis. Rekodi nyingine ambayo haitakaa ivunjwe ni hii hapa:
Goddess ISIS mpaka sasa ana likes approximately 135,000. Ukigawanya hizi likes na siku 30 tangu uzi huu uanzishwe ina maana kila siku alikuwa anapata likes 4, 500. Yes, likes elfu nne na mia tano kwa siku kwa siku thelathini mfululizo.
Record hii ikivunjwa haki ya nani aliyeivunja hata kama ikitokea akamuoa mmojawapo wa dada zangu humu (ninao sita), sitamtoza mahari!
Again, congratulations Goddess ISIS [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Wewe tia maziwamwenzako akinyolewa zako .............?
Nikisema kabla sitapata mkeNjia gani mkuu?
Ukonga kwetu Kiembesamaki ni aina ya matundaUlishawahi kufika Ukonga?
Polisi. Mtoeni nje Mh. Ghazwat. Na nisimuone ndani ya bunge langu hili tukufu kwa muda wa mwaka mzima! Anafikiri tumekuja kucheza hapa. Ubishoo apeleke kwa mkewe huko ala!Swali la nyongeza Mheshimiwa
Big up, the thread originatorUkiangalia kwenye uzi huu unaweza ukaona kama ni member wageni kutokana na ushiriki wetu kuwa hafifu hapo kabla,wapo watu wana miaka 4 hadi 5 lakini comments hazifiki hata 50,na zote kashushuliwa.Wengi tulipoteza ujasiri wa Ku comment kwa hofu ya kashushuliwa na wajuaji.Lakini kwenye uzi wetu tumejuana hata tukikutana ugenini tunapeana like tu.
Post sent using JamiiForums mobile app
Utalala after midnightMimi Ghazwat naapa kuwa hivi punde nitalala na kuachia thread hii ikiendelea.. Eeeh Mungu nisaidie!
DuhNtaoa kwa njia nyingine..
Teh teh tehMuda hauruhusu!
LolNina mtambo wa kutakatisha hela
Wa kuwatimua watawalaNina mtambo wa upinzani
Waheshimiwa waandishi wa habari sikutendewa haki kabisa. Muheshimiwa Spika anaona Bunge ni taasisi ya Serikali siyo!Polisi. Mtoeni nje Mh. Ghazwat. Na nisimuone ndani ya bunge langu hili tukufu kwa muda wa mwaka mzima! Anafikiri tumekuja kucheza hapa. Ubishoo apeleke kwa mkewe huko ala!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yule cheupe dawa
Polisi wako njianiMh. Ghazwat nakuomba tena, please kaa chini. Muda wako umeisha please kaa chini. Kwa mara ya mwisho kabla sijaita polisi Mh. Ghazwat mbunge wa Kongwa please kaa chini!
Tena hujui vya nani maana hujaviagizaNina vichwa vya treni bandarini
Kuna fuka majivuKwema
UtamfukuzaUlishawahi kufika Ukonga?
Ni vyangu nilivisahau ndo maana walikuwa wakiulizanaTena hujui vya nani maana hujaviagiza