Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kheri mwembetogwaUkonga kwetu Kiembesamaki ni aina ya matunda
Kheri mwembetogwaUkonga kwetu Kiembesamaki ni aina ya matunda
Linapokuwa tukufu ujue hilo ni ubabe mtupuPolisi. Mtoeni nje Mh. Ghazwat. Na nisimuone ndani ya bunge langu hili tukufu kwa muda wa mwaka mzima! Anafikiri tumekuja kucheza hapa. Ubishoo apeleke kwa mkewe huko ala!
23:4823:40
Nataka nioe ambako atakua anasalimia kila asubuhiMbona wako wengi?
Spika kasikia tetesi jina litakatwaWaheshimiwa waandishi wa habari sikutendewa haki kabisa. Muheshimiwa Spika anaona Bunge ni taasisi ya Serikali siyo!
Duh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
TRA wasivioneNi vyangu nilivisahau ndo maana walikuwa wakiulizana
Nitakwenda kuiangalia. Napenda sana picha!Jukwaa la photos inaitwa kicheko ni afya
Yakawa pure gold carat 24Nina mtambo wa kutakatisha makinikia
23:5016
Post sent using JamiiForums mobile app
No likes without postLikes
Au tecnoJinyime ili ununue Samsung