Chagua vita vya kupiganaNi kweli. Ni kupima upepo tu. Mtu akikuandama huyo basi ligi haikwepeki. Ila ligi za matusi tena yale makubwa ya kutukaniana mpaka mama, hizo huwa nazikwepa mpaka niwe cornered kabisa kabisa.
Jenerali mmoja wa jeshi la Ufaransa (kama sijakosea) aliwahi kusema kwamba "Usipigane vita vyo vyote kama ushindi wa vita hivyo hautakupatia faida yo yote"
Ni kanuni nzuri kuizingatia kila inapowezekana!
Aaa wapi!Jinyime ili ufanikiwe
Nina dakika tano kabla kulalaUbora ulioje
Mkuu huu ni uharibifu tu mali na sifa za kijinga na ufisadi na kuwanyima haki wanyongeBinadamu aisee tuko walafi kuliko hata fisi. Nyumba 70 zote za nini? Unawagawia ukoo mzima kila mtu nyumba yake ama?
Ila kama ni pesa zako umezipata kihalali sawa. Kama ni hizi za upigaji yaani ni unyama na ulafi uliopitiliza kimo!
Sasa kusafiri itabidi tubebe vipande kama nyakati za mkaburuUbaya ulioje
Nako chekechaUbalozi wa Mexico nchini Kibiti
Bila nomaNenda ili ujadiliwe
Tangazo tayari kuwa saa sita napaki mbele ili nilaleNina dakika tano kabla kulala
Tena wa shikamuuNataka nioe ambako atakua anasalimia kila asubuhi
Mkuu humu ni furaha tu,tukitoka huko tunako kwazwa kila siku,tuna kimbilia humu angalau kujiliwaza,ukikutana na mwingine anakuharibia hauna haja ya kulipiza,unaenda nae anavyotaka lakini kwa kumpa analo stahili.Muhimu tunao endana tumekuwa pamoja,jambo la kumshukuru Mungu.Nipe mji nimtwange na likes hadi avimbiwe
Kama ile ya pinga kila kituKaunti ya Buruburu
23:5823:50
Wako wako tuOCPD wa polisi nchini kenya
Kwani Mh. Ghazwat ungekaa chini na kuliheshimu bunge ungepungukiwa na nini? Tena inasemekana ulimwita Mh. Spika kwa kutumia neno baya. Eti ulisema yeye ni fala tu. Ni kweli Mh. Ghazwat ulitumia neno hilo la dharau na lisilo na maadili?Waheshimiwa waandishi wa habari sikutendewa haki kabisa. Muheshimiwa Spika anaona Bunge ni taasisi ya Serikali siyo!
Mradi zisiwe za TRA riple xNitakwenda kuiangalia. Napenda sana picha!