Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Pale mwili wako na akili vinapochoka na kuona huwezi tena kusonga mbele ndipo Mungu huinuka na kukushika mkono
SahihiWeka malengo ambayo watu wengi hawayaweki katika maisha yako.
UjumbeJua linazama leo, lakini linachomoza tena kesho. Haijalishi unapitia nini sasa, kuna siku mpya iliyojaa matumaini inakusubiri. Endelea kusonga.