Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Leo inaweza kuwa na giza, maumivu, na machozi lakini kumbuka, hata usiku mrefu una mwisho. Mwanga huja asubuhi, na kesho ni fursa mpya ya kuanza tena. Usikate tamaa, bado una nafasi ya kung'aa.