myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wanaweza kusema vitu vingi kwa kuahidi na kuonesha kwamba wao ni waaminifu lakini ni ngumu watu hao hao walioahidi kwenda kuishi uadilifu.
Mtu anaweza akaongea kuhusu uaminifu lakini asiende kuishi kile alichoongea.
Mtu anaweza akaongea kuhusu uaminifu lakini asiende kuishi kile alichoongea.
Suala la uadilifu limewashinda watu wengi, kama mtu anajiwekea malengo yeye mwenyewe halafu anashindwa kwenda kuyatekeleza
Uadilifu ni kazi. Ni watu wachache sana ambao wanaweza kuahidi na kutekeleza kile walichoahidi.
UADILIFU ✅️Suala la uadilifu limewashinda watu wengi, kama mtu anajiwekea malengo yeye mwenyewe halafu anashindwa kwenda kuyatekeleza
Wanaweza kusema vitu vingi kwa kuahidi na kuonesha kwamba wao ni waaminifu lakini ni ngumu watu hao hao walioahidi kwenda kuishi uadilifu.
✔️✔️Mtu anaweza akaongea kuhusu uaminifu lakini asiende kuishi kile alichoongea.
Kama unataka kuwa mtu anayeaminika na kujijengea heshima kubwa, basi kuwa mtu wa kuahidi na kutekeleza kile ulichoahidi.
Dunia inataka watu ambao wanasema na wanafanya yaani waaminifu na waadilifu.
Kama unataka kuwa mtu anayeaminika na kujijengea heshima kubwa, basi kuwa mtu wa kuahidi na kutekeleza kile ulichoahidi.
✔️✔️Uadilifu una gharama, kuna wakati lazima uingie gharama ili kile ulichoahidi kionekane.
✅️✅️Yaani mara zote kuwa mwaminifu na mwadilifu na utakutana na dunia itakupa kile unachotaka kwenye maisha yako.
👍👍Yaani mara zote kuwa mwaminifu na mwadilifu na utakutana na dunia itakupa kile unachotaka kwenye maisha yako.
Yaani mara zote kuwa mwaminifu na mwadilifu na utakutana na dunia itakupa kile unachotaka kwenye maisha yako.
✔️✔️✔️Hatua ya kuchukua leo; ukitaka kuwashawishi watu wakubaliane na wewe kuwa mtu wa kusema ukweli na kuishi ukweli.
✅️✅️✅️Hatua ya kuchukua leo; ukitaka kuwashawishi watu wakubaliane na wewe kuwa mtu wa kusema ukweli na kuishi ukweli.
Hatua ya kuchukua leo; ukitaka kuwashawishi watu wakubaliane na wewe kuwa mtu wa kusema ukweli na kuishi ukweli.
Uadilifu ni kujitoa sadaka, uadilifu ni matokeo na siyo maneno.
✔️✔️Uadilifu ni kujitoa sadaka, uadilifu ni matokeo na siyo maneno.