myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Inahimizwa kuwa na mtazamo wa shukrani na kuangalia mazuri hata katikati ya changamoto.
Mabadiliko ya hali yako yanategemea sana juhudi zako mwenyewe.
Hakuna hali ngumu isiyoweza kushindwa kwa msaada wa Mungu.
Hakuna hali ngumu isiyoweza kushindwa kwa msaada wa Mungu.
✔️✔️✔️Unapaswa kuchukua hatua za makusudi kuboresha hali yako bila kusubiri msaada kutoka nje.
Unapaswa kuchukua hatua za makusudi kuboresha hali yako bila kusubiri msaada kutoka nje.
Unapaswa kuchukua hatua za makusudi kuboresha hali yako bila kusubiri msaada kutoka nje.
UJUMBE HUU MUHIMU SANAKama kwa Mungu hakuna jambo gumu la kumshinda na ikiwa tunamwendea yeye ili kutusaidia kutoka kwenye magumu; basi hakuna hali ngumu yoyote ya kuweza kutuzamisha na kutushinda”
SawasawaHali ngumu ni kifungashio cha nje tu cha mambo mazuri”
Tunapitia hali ngumu ili kulipa gharama ya maamuzi ya hovyo tunayofanya kwa kuwasikiliza wengi wanasemaje”
SAWASAWA KABISA ✔️Usiache kua MTU mwema wala usizitamani njia zao watu wasio haki
SawaUsiache kua MTU mwema wala usizitamani njia zao watu wasio haki