moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hili sawaBora uchelewe kuliko kuwahi ikiwa unakoenda bado hujajiridhisha vya kutosha”
AiseeHali ngumu haziepukiki na zinatufundisha kutegemea Mungu.
SAWASAWAUshindi unatokana na mchakato wa kukabiliana na changamoto kwa ujasiri na matumaini.
Ushindi unatokana na mchakato wa kukabiliana na changamoto kwa ujasiri na matumaini.