myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️✔️
Usichanganyike wewe mwenyewe — uwepo wa akili yako ni silaha ya ushindi.
Usichanganyike wewe mwenyewe — uwepo wa akili yako ni silaha ya ushindi.
SawaWakati wengine wanalumbana — wewe panua wigo wako.”
Jifunze kuwa mtulivu wakati wengine wanagombana au wameshikwa na jazba.
Usipambane moja kwa moja na mtu mwenye nguvu — angalia mahali pa udhaifu ndani ya mfumo wake.
Ukiona washindani wanakubaliana mno — uliza swali linaloamsha shaka au tafauti miongoni mwao.
Usipambane moja kwa moja na mtu mwenye nguvu — angalia mahali pa udhaifu ndani ya mfumo wake.
Ukiweza kuwafanya maadui wako kugombana wenyewe — utawashinda bila kupambana.”
Na ukiwa mtulivu wakati wao wamechanganyikiwa — unatawala.”
Ukiweza kuwafanya maadui wako kugombana wenyewe — utawashinda bila kupambana.”
Na ukiwa mtulivu wakati wao wamechanganyikiwa — unatawala.”
Sawasawa ✔️ ✔️Ukiweza kuwafanya maadui wako kugombana wenyewe — utawashinda bila kupambana.”
Na ukiwa mtulivu wakati wao wamechanganyikiwa — unatawala.”
Ukweli wa maisha ni kuwa unayemtegemea kukutoa wewe kwenye hali ngumu, yeye pia yuko katika hali ngumu yake
Utamu wa stori si maneno bali ni ushindi kwenye magumu
SawaKaa kuanzia asubuhi mpaka jioni ukilalamika, ikifika jioni nitakuuliza swali rahisi, ‘umebadilisha nini ulivyomaliza kulalamika?”
Sawasawa ✔️Kaa kuanzia asubuhi mpaka jioni ukilalamika, ikifika jioni nitakuuliza swali rahisi, ‘umebadilisha nini ulivyomaliza kulalamika?”
Kaa kuanzia asubuhi mpaka jioni ukilalamika, ikifika jioni nitakuuliza swali rahisi, ‘umebadilisha nini ulivyomaliza kulalamika?”