moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Matendo yako mema na moyo wako wa kujali ndio vitakufanya watu wakupende na kukuheshimu ila bidii ndiyo itakayokufanya ufikie malengo yako.
Matendo yako mema na moyo wako wa kujali ndio vitakufanya watu wakupende na kukuheshimu ila bidii ndiyo itakayokufanya ufikie malengo yako.
SawasawaUsifanye maamuzi kwa mkumbo tenga muda kwanza wa kulielewa jambo kabla hujafanya
✔️✔️Usifanye maamuzi kwa mkumbo tenga muda kwanza wa kulielewa jambo kabla hujafanya
SawaMapito yanaweza kukuchafua lakini Thamani yako ikabaki kuwa ni ileile.
SawasawaTumia rasilimali zako kwa busara, kwani kila hatua unayochukua leo inaweza kuunda mustakabali mzuri wa kesho yako.
Kweli..Utawala Wenye Nguvu Ni Ule Unaoanzia Kwenye Fikra,Ukiweza Kutawala Fikra Zako Basi Utakuwa Na Uwezo Wa Kutawala Kila Kitu Unachokiona.
AiseeUtawala Wenye Nguvu Ni Ule Unaoanzia Kwenye Fikra,Ukiweza Kutawala Fikra Zako Basi Utakuwa Na Uwezo Wa Kutawala Kila Kitu Unachokiona.
AiseeMapito yanaweza kukuchafua lakini Thamani yako ikabaki kuwa ni ileile.