myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Uvumilivu ni moja ya silaha kubwa katika Safari yako ya maisha
Jifunze kuvumilia shida na kuzitatua mwenyew
SawasawaWeka tabasamu katika hatua zako ili uweze kuyashinda mapito
Unaweza kuwa unawasaidia mambo mengi sana lakini siku ukianguka wanafurahi sana na bado watasema ulikua unaturingishia vitu vyako
Mungu akulinde na aina hii ya watu
Daima Kuwa Tayari Kujikimu Peke Yako, Baadhi Ya Watu Hubadilika Ghafla, Leo Wewe Ni Wa Maana Kwao, Kesho Huna Thamani Kabisa Kwao, Na Huo Ndio Ukweli Wa Maisha.
Daima Kuwa Tayari Kujikimu Peke Yako, Baadhi Ya Watu Hubadilika Ghafla, Leo Wewe Ni Wa Maana Kwao, Kesho Huna Thamani Kabisa Kwao, Na Huo Ndio Ukweli Wa Maisha.
Kuomba msamaha haimaanishi tu kwamba umekosea.. Badala yake, ina maana kwamba unathamini uhusiano na wengine na kuupa umuhimu mkubwa.
Sawa piaKuomba msamaha haimaanishi tu kwamba umekosea.. Badala yake, ina maana kwamba unathamini uhusiano na wengine na kuupa umuhimu mkubwa.
Bila kuwa na subira kwenye maisha utajikuta unapoteza watu muhimu kwa maamuzi ya
Hasira