moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mwenye nia huweka mkazo kwenye jambo lake
Kweli kabisa, NakubalianaMwenye nia huweka mkazo kwenye jambo lake
SawaJali sana afya yako ya akili ni msingi wa mafanikio yako.
SawasawaHumu duniani hakuna mtu ambaye hana matatizo, kwa hiyo usijali sana maisha ndivyo yalivyo.
SawaJali sana afya yako ya akili ni msingi wa mafanikio yako.
AiseeWeka tabasamu katika hatua zako ili uweze kuyashinda mapito
SawasawaWatu Wengine Sio Wabaya , Bali Wanakuwa Wabaya Wakishajua Mipango Yako