Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Daima Kuwa Tayari Kujikimu Peke Yako, Baadhi Ya Watu Hubadilika Ghafla, Leo Wewe Ni Wa Maana Kwao, Kesho Huna Thamani Kabisa Kwao, Na Huo Ndio Ukweli Wa Maisha.
📌📌Usipokuwa makini na mambo ya mtandaoni utadanganyika sana na utasambaza uongo sana.
✅️✅️Usipokuwa makini na mambo ya mtandaoni utadanganyika sana na utasambaza uongo sana.
Mazingira yako huamua na kuendesha hatima yako, ikiwezekana badilisha mazingira yako ili ubadilishe hatima yako
Sahihi hiliMaisha ni kama kioo ,unachotuma ndicho unakachopokea
UmakiniKuwa makini wakati wa kuchagua nani wa kuwa nae kwenye maisha yako ili usije kujifunga kwenye majuto.
✔️✔️Kama kumsahihisha na kumrekebisha mtu unalazimika kumdhalilisha, ujue wewe hujui kufundisha..
Usiwe na tabia ya kudharau au kupuuzia watu wanaokuja mbele yako kuwa makini kuwasikiliza kwanza huwezi jua watu wa kukuinua wanatokea upande gani
SawaUsiwe na tabia ya kudharau au kupuuzia watu wanaokuja mbele yako kuwa makini kuwasikiliza kwanza huwezi jua watu wa kukuinua wanatokea upande gani
Kweli hili piaMazingira yako huamua na kuendesha hatima yako, ikiwezekana badilisha mazingira yako ili ubadilishe hatima yako