myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
πππMaisha ni kama kioo ,unachotuma ndicho unakachopokea
SawasawaNidhamu, uvumilivu na kujituma ndio silaha katika kusaka mafanikio.β - Warren Buffett
ππSawasawaNidhamu, uvumilivu na kujituma ndio silaha katika kusaka mafanikio.β - Warren Buffett
KweliβοΈUnavyojiona una hali ngumu, kuna watu wana hali ngumu zaidi yako.
Uko sahihiAdui wa kweli ni Shida zako ukizishinda, umeshinda Maadui wako wengine.
ππAdui wa kweli ni Shida zako ukizishinda, umeshinda Maadui wako wengine.
SahihiAdui wa kweli ni Shida zako ukizishinda, umeshinda Maadui wako wengine.
Sala ya asubuhi ni ushindi wa kwanza wa siku dhidi ya shetani
Uvumilivu sio uwezo wa kusubiri, lakini uwezo wa kuweka mtazamo mzuri wakati wa kusubiri.
UVUMILIVU NI USHINDIUvumilivu sio uwezo wa kusubiri, lakini uwezo wa kuweka mtazamo mzuri wakati wa kusubiri.
Sawa kabisa piaKwenye maisha hakuna njia nyepesi , uchague haramu au halali zote zinakuja na gharama yake , cha muhimu ni kuchagua uelekeo sahihi tu utakao kufikisha uendako
ππWeka tabasamu katika hatua zako ili uweze kuyashinda mapito
NAKUBALIKubali Matokeo Kwamba Wewe Sio Wa Muhimu Sana Katika Maisha Ya Baadhi Ya Watu,Kisha Endelea Na Maisha Yako!
NAKUBALI PIAUsijilinganishe na wengine kila mtu ana safari yake ya kiakili
Hili sikataiUkimya ni tiba, lakini mazungumzo yanaponya.
Ukweli upo hivyoUsijilinganishe na wengine kila mtu ana safari yake ya kiakili
SAWASAWAAfya Ya Akili Ni Muhimu Kama Ilivyo Afya Ya Mwili Hivyo Ni Muhimu Kuchukua Hatua Za Kujikinga, Kuomba Msaada Unapohisi Hauko Sawa Na Kujenga Mtindo Wa Maisha Ulio Bora Katika Kutunza Na Kuilinda Afya Yako Ya Akili.
Sahihi kabisaMazoezi ya mwili huchangia ustawi wa akili tembea, kimbia, cheza.
Sahihi kabisaAfya ya akili ni uwezo wa kupokea na kuchukuliana wengine jinsi walivyo pasi kutoleana maneno mabaya.β - Pascal Kang'iria
β οΈβ οΈβ οΈAfya ya akili ni uwezo wa kupokea na kuchukuliana wengine jinsi walivyo pasi kutoleana maneno mabaya.β - Pascal Kang'iria