myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ni kweliChangamoto ni sehemu ya Maisha lakini hazipaswi kututawala
Ni kweliChangamoto ni sehemu ya Maisha lakini hazipaswi kututawala
✔️✔️Maisha yetu hapa kwenye uso wa dunia ni mafupi Sana,tusichoke kusameheana na kuombeana mema..
Ntajaribu..Jifunze kusema uongo kwa watu wanaouliza sana maswali kuhusu maisha yako binafsi.
SawaMahusiano Bora ni nyezo nzuri ya Afya bora ya akili.
SawaMahusiano Bora ni nyezo nzuri ya Afya bora ya akili.
📌📌Fainali ni Moja tu kwenye Maisha ila Utoto na Uzee unatukumbusha kila binaadam alie zaliwa kwenye tumbo la Mwanamke nae atakufa
👍👍Kuna Muda kwenye haya Maisha kesho ya Mtu ataitumia kupambana na Majuto ya Makosa yake yaliopita
✅️✅️Hasira zisikuchanganye kiasi cha kushindwa kudhibiti Ulimi wako
✔️✔️Hasira zisikuchanganye kiasi cha kushindwa kudhibiti Ulimi wako
📌📌📌Ukikosewa kosa kidogo tu Unaripuka Unajiuliza kwanini kumbe kosa halikua hilo bali ni Maumivu ya zamani yanaibuka tena
👍👍Ukikosewa kosa kidogo tu Unaripuka Unajiuliza kwanini kumbe kosa halikua hilo bali ni Maumivu ya zamani yanaibuka tena
Kweli aiseeBidii sio USHAMBA. Ukiweka BIDII na kujitoa kwa dhati kwenye kile unachokifanya leo hii; lazima UFANIKIWE tu''''’'
Kumbuka Hili, Ukichagua Maisha Ya Kuwa Muongo, Hakikisha Kuwa Unakuwa Mwenye Kumbukumbu
jifunze Kuna watu wanakuchukia sio kwa sababu umewakosea hapa ila wanaona huteseki kama wao
SawasawaBidii sio USHAMBA. Ukiweka BIDII na kujitoa kwa dhati kwenye kile unachokifanya leo hii; lazima UFANIKIWE tu''''’'
Sawasawajifunze Kuna watu wanakuchukia sio kwa sababu umewakosea hapa ila wanaona huteseki kama wao
Sawasawajifunze Kuna watu wanakuchukia sio kwa sababu umewakosea hapa ila wanaona huteseki kama wao
NakubalianaKesho Yako Inajengwa Na MAANDALIZI, Haijengwi Kwa HOFU Wala Mashaka. Vaa Ujasiri Hakuna USHINDI Bila Kujitoa.
Vizuri vina gharama, na vya bure vina bei; ndiyo maana Waswahili walisema, Bure ni ghali