myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌Safari ya masikini haina kituo,Tupambane
📌📌Safari ya masikini haina kituo,Tupambane
SawaSafari ya masikini haina kituo,Tupambane
✔️✔️✔️Vizuri vina gharama, na vya bure vina bei; ndiyo maana Waswahili walisema, Bure ni ghali
SawasawaVizuri vina gharama, na vya bure vina bei; ndiyo maana Waswahili walisema, Bure ni ghali
SawasawaSIKIA, kuna vijimambo vidogovidogo ambavyo umekuwa ukivitenda bila kuelewa vinakugharimu kiasi gani katika maisha yako! Usiwaamini watu kupita kiasi. Jifunze kuwa na kiasi katika maisha yako hasa linapokuja suala la kudeal na watu
SawasawaMaarifa muda na pesa ndio nyenzo kuu za kukuwezesha kupata chochote kile unachotamani katika maisha yako
SawasawaMaarifa muda na pesa ndio nyenzo kuu za kukuwezesha kupata chochote kile unachotamani katika maisha yako
AiseeUsiishi kwa kufuata mkumbo,macho na akili unavyo.Vitumie vyema.
Angalia jamii uliyopo kisha tafakari,kati ya wewe na jamii yako je kipi kinahitaji mabadiliko? Jibu lako lifanyie kazi,kila kitu huanza ndani ya akili ya mtu mmoja tu.Jukumu letu kuleta maendeleo.
SawaUsiishi kwa kufuata mkumbo,macho na akili unavyo.Vitumie vyema.
Angalia jamii uliyopo kisha tafakari,kati ya wewe na jamii yako je kipi kinahitaji mabadiliko? Jibu lako lifanyie kazi,kila kitu huanza ndani ya akili ya mtu mmoja tu.Jukumu letu kuleta maendeleo.
Maisha ni vita binafsi hakuna atakaye pambana kwa niaba yako silaha zitakazo kuokoa ni bidii nidhamu na imani yako hivi ndivyo vitakavyo ruhusu muda ukutambulishe kama mshindi au uliye shindwa KAZA MWANANGU KUSHINDA INAWEZEKANA
✅️✅️Maisha ni vita binafsi hakuna atakaye pambana kwa niaba yako silaha zitakazo kuokoa ni bidii nidhamu na imani yako hivi ndivyo vitakavyo ruhusu muda ukutambulishe kama mshindi au uliye shindwa KAZA MWANANGU KUSHINDA INAWEZEKANA
📌📌Vijana Wengi wanataka kuona mabadiliko lakini kwa vitu vya nje tu bila kujua kua mabadiliko yeyote yale huanzia ndani yako mwenyewe , badilika kwanza wewe na vingine utaona vimebadilika
SawaJipambanie kuwa yule mtu unae taka kuwa ila katika uhalisia wako kwasababu dunia haisikilizi sana maelezo ya wewe ni nani au unajua nini ili dunia ikupe nafasi ya kutambulika inaangalia zaidi kile unacho kiishi don't fake life uhalisia ndio utambulisho wako
✔️✔️Jipambanie kuwa yule mtu unae taka kuwa ila katika uhalisia wako kwasababu dunia haisikilizi sana maelezo ya wewe ni nani au unajua nini ili dunia ikupe nafasi ya kutambulika inaangalia zaidi kile unacho kiishi don't fake life uhalisia ndio utambulisho wako
SawaJipambanie kuwa yule mtu unae taka kuwa ila katika uhalisia wako kwasababu dunia haisikilizi sana maelezo ya wewe ni nani au unajua nini ili dunia ikupe nafasi ya kutambulika inaangalia zaidi kile unacho kiishi don't fake life uhalisia ndio utambulisho wako
✅️✅️Maisha bora hayaletwi na chama wala mwanasiasa yeyote yule ila ni jukumu lako binafsi kufanya maamuzi sahihi kiroho , kimwili na kifedha ili ujiondoe kwenye umasikini wako
SawaWale wasio na uwezo wa kuyatatua matatizo yako hawapaswi kujua chochote kile kuhusu shida zako vinginevyo utageuka kua gazeti
SawasawaMaisha bora hayaletwi na chama wala mwanasiasa yeyote yule ila ni jukumu lako binafsi kufanya maamuzi sahihi kiroho , kimwili na kifedha ili ujiondoe kwenye umasikini wako
Wale wasio na uwezo wa kuyatatua matatizo yako hawapaswi kujua chochote kile kuhusu shida zako vinginevyo utageuka kua gazeti